Kupitia mkutano huo, Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Ramadhani Lwamo anaelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini sambamba na kutoa ufafanuzi wa masuala ya Sekta ya Madini.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.













Comments
Post a Comment