Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wenu wa Ligi Kuu. #KariakooDerby
Nawatakia nyote kheri katika michezo yenu inayofuata. Endeleeni kutupa burudani huku Taifa likiendelea kuchapa kazi kwa amani, umoja, utulivu na mshikamano.