Mke wa Waziri Mkuu Mama Marry Majaliwa akijiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji, utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi. Oktoba 19, 2024 Kushoto ni Afisa Uandikishaji Bw. Alexander Mmole
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.


Comments
Post a Comment