Skip to main content

Posts

Showing posts from September 21, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MICHEZO YA MAJESHI TANZANI

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amezindua rasmi Mashindano ya Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) 2026, katika hafla iliyofanyika tarehe 21 Septemba, 2026, katika Uwanja wa CCM Kirumba, Wilaya ya Ilemela, jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, Mhe. Hemed amewataka wanamichezo na washiriki wote kutumia mashindano hayo kuonesha vipaji, nidhamu na uwezo wao, huku wakizingatia misingi ya haki, sheria na maadili ya michezo. Aidha, amewataka waamuzi na waendeshaji wa mashindano hayo kutekeleza majukumu yao kwa haki na weledi, huku wachezaji na washiriki wengine wakitakiwa kuheshimu sheria na kudumisha nidhamu wakati wote wa mashindano. “Tusishindane kwa nguvu na kwa uwezo wetu bali tushindane kwa heshima, utu na kwa kufuata misingi ya michezo, huku tukitambua kuwa kuna maisha wakati wa michezo na maisha baada ya michezo,” amesema Mhe. Hemed. Kwa upande wake, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe....

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amezindua rasmi Mashindano ya Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) 2026, katika hafla iliyofanyika tarehe 21 Septemba, 2026, katika Uwanja wa CCM Kirumba, Wilaya ya Ilemela, jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, Mhe. Hemed amewataka wanamichezo na washiriki wote kutumia mashindano hayo kuonesha vipaji, nidhamu na uwezo wao, huku wakizingatia misingi ya haki, sheria na maadili ya michezo. Aidha, amewataka waamuzi na waendeshaji wa mashindano hayo kutekeleza majukumu yao kwa haki na weledi, huku wachezaji na washiriki wengine wakitakiwa kuheshimu sheria na kudumisha nidhamu wakati wote wa mashindano. “Tusishindane kwa nguvu na kwa uwezo wetu bali tushindane kwa heshima, utu na kwa kufuata misingi ya michezo, huku tukitambua kuwa kuna maisha wakati wa michezo na maisha baada ya michezo,” amesema Mhe. Hemed. Kwa upande wake, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,...

AMANI NA MAENDELEO ORGANIZATION (AMO) YATOA UJUMBE WA AMANI KWA JAMII.

Na Mwandishi wetu Musoma. Amani na Maendeleo Organization ( AMO) yaiomba jamii kudumisha amani kwa kuwa ndio msingi wa maendeleo kwa Taifa lolote. Akitoa ujumbe huo kwa niaba ya Shirika Katibu Mkuu Mtendaji Jovina John Massano amesema Taifa lolote lisilokuwa na amani maendeleo huwa hafifu ieleweke kuwa Ushirikiano,Umoja,Uwajibikaji na Upendo ndio chanzo cha amani katika Taifa lolote Duniani na ndio msingi wa maendeleo. "Sisi ni wadau wa amani tunawaomba wadau, Vijana, taasisi za dini, viongozi wa Mila na desturi, viongozi wa Serikali,wazee,vyama vya siasa,wanaharakati na jamii yote kuishi na kuenzi amani tulioachiwa na waasisi wa Taifa letu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kusikilizana na kushirikiana". Tarehe 21 Septemba 2026 huazimisha siku ya amani kimataifa mwaka huu imejikita kuwekeza katika Amani na tunatambua pamoja kuamini kuwa Amani ni zaidi ya kutokuwepo kwa vita. Pia Amani inahusiana  na usalama, utu, heshima na haki msi...

NSSF MARA YAZIDI KUELIMISHA MAKUNDI YOTE WANANCHI WAWAPONGEZA.

 Na Mwandishi wetu Jovina Massano Musoma. Baadhi ya Wananchi mkoani Mara waupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) kwa kuwafikia na kuwapa elimu ya kina kuhusu umuhimu wa mfuko huo. Wamesema elimu inayotolewa hivi sasa imewasaidia kuelewa umuhimu wa kujiwekea akiba na fursa zilizopo katika mfuko huo. Hivi sasa timu ya maafisa maelekezo ya hifadhi skimu ikiongozwa na Athanas Lukuba pamoja na Philipo Kachinde inaendelea kutoa elimu sambamba na kusajili wanachama kutoka makundi mbalimbali katika wilaya zilizopo mkoani Mara. Mpaka sasa NSSF imewafikia Wajasiriamali na vikundi mbalimbali wakiwemo wachimbaji wadogo na kuwaelimisha kuhusu Hifadhi ya Jamii. Salome Maganga Nyaluga mkazi wa Mtaa wa Majita road ameipongeza NSSF kwa kuwafikia na kuwapa elimu ya kutosha na kupata uelewa juu ya mafao yaliyopo hasa upande wa matibabu ambayo yamelatibiwa na Wizara ya afya. "Maamuzi ya mfuko huu kufika katika mitaa na kuelimisha Wananchi ni jambo zuri kwa kuwa Wajasiriamali wengi hajui kama NS...

RC SENYAMULE: KILA MFANYABIASHARA ALIYEUNGULIWA MACHINGA COMPLEX ATAPATA LAKI 5 KIFUTA JASHO

 MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa imetenga kifuta jasho cha Shilingi 500,000 kwa kila mmoja wa wafanyabiashara 44 walioathirika na moto ulioteketeza sehemu ya Soko la Machinga Complex jijini Dodoma. Senyamule ameyasema hayo leo Septemba 21, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo, akieleza kuwa fedha hizo zitatolewa kama faraja kwa wafanyabiashara hao wakati wakisubiri kurejea katika maeneo yao ya biashara. Amesema kifuta jasho hicho hakilengi kufidia thamani ya mali walizopoteza, bali ni hatua ya kuwapa faraja na kuwasaidia katika kipindi cha kusubiri kurejea kwenye shughuli zao za biashara. “kifuta jasho si jambo linalingana na gharama uliyopoteza. Kifuta jasho ni kitu cha kukupa faraja. Kwa hiyo, kila mmoja kati ya watu 44 atapewa Shilingi 500,000 ili angalau aweze kupata kifuta jasho wakati anasubiri siku 10 za kurudi kwenye mazingira yake ya biashara,” amesema Senyamule. Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa amesema Serikal...