Mgombea kiti Cha Urais Tanzania Kwa tiketi ya CCM na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Katika muendelezo wa ZIARA zake za KAMPENI Mkoa Kwa mkoa,wilaya Kwa wilaya akiwa njiani kuelekea Mkoa wa Mara,wilaya ya Musoma, amesimama kuwasalimu na kuzungumza na wananchi wa Lamadi na Bunda. Awashukuru sana kwa kujitokeza kwa wingi njiani, kwa upendo, dua, sala na baraka. Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye kampeni alipokuwa musoma,amegusia afya, elimu, Miundombinu na kilimo,Afya, Mgombea kiti Cha Urais Kwa tiketi ya CCM,Ndg SAMIA SULUHU HASSAN amesema kuwa Serikali itaimarisha uagizaji wa vifaa tiba kikamilifu Katika hispitali zetu,pia upo utaratibu ambao utaratibu wa Ili Kila mwananchi atumie bima ya afya hii itarahisisha upatikanaji Wa tiba Kwa mwananchi wetu. Dk.Samia ameendelea kusema kuwa kwenye elimu,Serikali imejitahidi sana kuzingatia elimu bila ada kuanzia darasa la kwanza Hadi kidato Cha Tano na sita,pia Serikali Bado inaendelea maeneo ya kuboresha kwenye elim...