Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), (kulia) akiwa katika picha na Mkurugenzi Mtendaji wa WaterAid UK-Kanda ya Kusini mwa Afrika, Bw. Robert Kampala, baada ya kufanya kikao cha kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Taasisi hiyo katika kufadhili Sekta ya maji, Mkutano uliofanyika pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 61 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) na Mkutano Mkuu wa 52 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki hiyo (ADF), unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kintele, Jijini Brazzaville, katika Jamhuri ya Kongo.
Marato tv - Sauti ya Jamii