Skip to main content

Posts

Showing posts from September 26, 2025

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Mirerani Mines Officer Commends Mining Commission at Geita Gold Fair

Geita  The Resident Mines Officer for Mirerani, George B. Kaseza, has praised the Mining Commission for its effective participation at the ongoing Geita Gold Fair 2025, taking place at the Dr. Samia Suluhu Hassan Grounds in Bombambili, Geita. During his visit to the Commission’s pavilion, Mr. Kaseza commended the level of preparation, noting that the exhibitions showcased the Commission’s commitment to creating awareness about Tanzania’s mineral sector.  He encouraged Tanzanians to take an active role in the sector, highlighting the numerous opportunities available in mineral exploration, value addition, and trade. Mr. Kaseza emphasized that broader participation from local investors and stakeholders would strengthen the country’s economy and ensure Tanzanians benefit more from the nation’s mineral wealth. The Geita Gold Fair 2025, which runs from September 18 to 28, has brought together stakeholders from across the mining industry to promote investment, innovation, and collab...

Kila Jiwe Lina Thamani – Keraka

Geita MJIOLOJIA kutoka Ofisi ya  Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mara, Godfrey Keraka, amesema kuwa kila jiwe lina thamani kwa sababu ya mchango wake katika sekta ya madini, maendeleo ya taifa na teknolojia ya kisasa duniani. Akizungumza kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani Geita, Keraka ameeleza kuwa sekta ya madini inachangia  asilimia 10.1 ya Pato la Taifa (GDP) na ni urithi muhimu wa nchi unaopaswa kulindwa. Ametolea mfano wa madini ya vito kama Amethyst, Rose-Quartz na Quartz ambayo hutumika kutengeneza mapambo ya thamani, wakati madini ya chuma yanahusishwa zaidi na ujenzi wa miundombinu, utengenezaji wa magari, meli na mashine mbalimbali. Aidha, shaba hutumika kwenye nyaya za umeme, feldspar kwenye vigae na mapambo, na pyrite kwenye mbolea, mapambo pamoja na uzalishaji wa tindikali ya salfyuriki. Kwa upande mwingine, makaa ya mawe yametajwa kuwa chanzo muhimu cha nishati, huku dhahabu na fedha zikibainishwa kama madini yenye thamani ku...

Mkutano wa Hadhara Wa Mgombea Ubunge Kwa Tiketi ya Ccm Jimbo la Mtumba Ndg.Anthony Mavunde

Dondoo za Hotuba ya Ndg. Anthony Mavunde akihutubia maelfu ya Wananchi wa Kata ya Ngh’ongh’ona tarehe 26.09.2025 ▪️Pongezi kwa Dkt. Samia S. Hassan kwa mageuzi makubwa ya sekta ya Afya,Elimu,Maji,Barabara na Nishati. ▪️Ujenzi wa Kituo cha Afya Ngh’ongh’ona. ▪️Ukamilishwaji na kusajiliwa Shule ya Sekondari Mapinduzi. ▪️Upimaji na Umilikishwaji wa Ardhi kwa wananchi wa Ngh’ongh’ona. ▪️Uchimbwaji Kisima na kuongeza kina cha bwawa la Umwagiliaji. ▪️Ujenzi wa Soko na Stendi ya Mabasi. ▪️Ukamilishwaji usambazaji nishati ya umeme maeneo yaliyobaki. ▪️Ununuzi wa Mtambo(Motor Grader) kwa ajili ya Jimbo la Mtumba ili kusafisha na kufungua barabara. ▪️Uanzishwaji wa viwanda vidogo kupitia 10% ya mikopo ya wakinamama,Vijana na watu wenye ulemavu. ▪️Uanzishwaji wa Klabu za wazee za Kata. ▪️Uchimbaji visima vya Maji safi eneo la Mhande na Kwa Mjeni. ▪️Ukamilishwaji wa Zahanati ya Mapinduzi B. ▪️Utatuzi wa mgogoro wa Ardhi Itumbi na Mapinduzi B. ▪️Ulipwaji wa Fidia wananchi waliopisha ujenzi wa Barab...

Tanzania’s Mineral Sector Opportunities Highlighted at Geita Gold Fair

Commissioner of the Mining Commission, Dr. Theresia Numbi, together with CPA Venance Kasiki, Director of Mineral Audit and Trade, shared valuable insights on available opportunities for Tanzanians in the mineral sector during the Local Content Forum at the Geita Gold Fair 2025. The forum, themed “Opportunities and Roles for Mining Service Providers and the Importance of Establishing Local Industries,” brought together key stakeholders to discuss how local investors and miners can actively engage in the sector and contribute to value addition. Guest of Honour, Chairperson Dr. Janet R. Lekashingo, encouraged participants to seize these opportunities for sustainable growth, while other senior leaders, including Commissioner Engineer Theonestina Mwasha, reinforced the Commission’s commitment to transparency and local participation. #MiningTanzania #LocalContent #GeitaGoldFair #MineralSector #InvestmentOpportunities

Usanifu wa Barabara Hufanyika Kabla ya Ujenzi

📌Wananchi watakiwa kutokutupa taka kwenye mitaro ya maji  📌Wananchi waipongeza TARURA ujenzi wa miundombinu  Geita Imeelezwa kwamba Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) hufanya usanifu wa kina wa barabara kabla ya ujenzi kuanza kutekelezwa. Hayo yamebainishwa na Mhandisi wa miradi kutoka TARURA Faizer Mbange wakati akitoa elimu kwa umma kwa wananchi waliofika kwenye Maonesho ya Nane ya Madini Mkoani Geita. Amesema kwamba  barabara nyingi nchini zinazosimamiwa na Wakala kwa sasa zina hali nzuri kwani usanifu wa kina hufanyika pamoja na usimamizi madhubuti wakati wa utekelezaji wa mradi. “Yote haya yanafanyika ili kuhakikisha thamani  na viwango vya barabara vinafikiwa ili kukidhi mahitaji na kupata thamani ya fedha iliyokusudiwa katika ujenzi wa miundombinu”. Naye, Afisa Ustawi wa Jamii Mwandamizi kutoka TARURA Mkoa wa Geita Bw. Godfrey Vedasto amewataka wananchi kuendelea kutunza miundombinu ya barabara zinazotengenezwa katika maeneo yao  ili zidu...

Wasira aungana na Dk Nchimbi, Dkt Mwinyi katika mazishi ya Abass Mwinyi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza  wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na viongozi mbalimbali kushiriki mazishi ya Mtoto wa Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi yaliyofanyika Bweleo Zanzibar. Mbali na kushiriki mazishi hayo, Wasira alitoa pole kwa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali ambaye ni ndugu wa marehemu Abbas Mwinyi. Abbas Mwinyi alifariki dunia jana mjini unguja, na maziko yake yamefanyika leo Bweleo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Abass Ali Mwinyi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 26, 2025 mchango katika maziko ya Abbas Ali Mwinyi ambaye ni kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Zanzibar