Skip to main content

Posts

Showing posts from January 3, 2026

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Dkt. Mwigulu Akutana na Mawaziri wa Maji na Fedha

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso  na Waziri wa Fedha, Balozi,  Khamis Omar katika kikao cha kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026.  Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi na watendaji kutoka TAMISEMI, Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji.

Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa Owm-Tamisemi

  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026.  Viongozi wengine walioshiriki kikao kazi hicho ni Katibu Mkuu  (OWM-TAMISEMI), Adolf Ndunguru  (OWM-TAMISEMI), Naibu Katibu  Mkuu  (OWM-TAMISEMI), Sospeter Mtwale pamoja na na Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa, Beatrice Kimoleta.