Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na Ujenzi la Nchi ya Korea

GEORGE MARATO TV
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana  na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top