RAIS FEMATA JOHN BINA KUFANYA ZIARA MKOANI MWANZA

GEORGE MARATO TV
0

 

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


*TANGAZO MAALUM*


*MHE. JOHN WAMBURA BINA RAIS WA FEMATA NA MWENYEKITI WA KAMATI TENDAJI YA FEMATA*.


*LEO TAREHE 31/8/2024 ATAKUWA NA ZIARA MKOANI MWANZA KUKUTANA NA VIONGOZI WA REMAs YA MWAREMA NA WACHIMBAJI WA MKOA WA MWANZA KIKAO HICHO CHA VIONGOZI WAANDAMIZI WA MWAREMA NA WACHIMBAJI KITAFANYIKA WILAYA YA MISUNGWI*


*RAIS ATAAMBATANA NA NDUGU, JEREMIAH KITUYO MWENYEKITI WA CHAMMATA (CHAMA CHA MA-BROKERS)*


*BAADAE LEO RAIS WA FEMATA ATAKUTANA NA WACHIMBAJI WA MKOA WA SHINYANGA NA BAADAE VIONGOZI WAANDAMIZI WA REMAs YA SHINYANGA - SHIREMA*.


*KESHO TAREHE 1/9/2024 RAIS WA FEMATA ATAKUTANA NA WACHIMBAJI WA MKOA WA TABORA REMAs YA TABOREMA, TAREHE 2/9/2024 ATAFIKA MKOA WA SINGIDA REMAs YA SIREMA*

 

*RAIS WA FEMATA ANAWATANGAZIA WENYEVITI,  VIONGOZI WAANDAMIZI WA REMAs NA WACHIMBAJI WA MADINI MIKOA YA JIRANI KUAMBATANA NAE KWENYE ZIARA HIYO*.


*RATIBA YA ZIARA MAALUM YA RAIS WA FEMATA AWAMU BAADA YA KUFIKA SINGIDA RATIBA ITAKAYO FUATA ITATANGAZWA BAADAE*.


*AHSANTENI SANA*.

*IMETOLEWA NA KURUGENZI YA HABARI FEMATA*


🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top