Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 10, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.

.jpg)
.jpg)



Comments
Post a Comment