Balozi Dkt.Nchimbi Awaomba Kura Wananchi wa Bwanga

GEORGE MARATO TV
0


 Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia na kuwahutubia Wananchi wa kata ya Bwanga,wilayani Geita leo Jumamosi Septemba 6,2025 akielekea mkoa wa Kagera.

Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).












Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top