Balozi Dkt Nchimbi Awasili Jimbo la Biharamulo Magharibi Kuomba Kura

GEORGE MARATO TV
0


 Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika uwanja wa mpira CCM Majengo,katika jimbo la Biharamulo Magharibi mkoa wa Kagera,ambapo baadae atawatubia Wananchi waliofika kumsikiliza leo Jumamosi Septemba 6,2025 akitokea mkoa wa Geita.

Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).











Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top