Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Ndugu. MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) amefika Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza Kumfariji Ndugu. Kheri James ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini aliyefiwa na Baba yake Mzazi Desemba 03 Mwaka huu.
Mwenyekiti Kawaida akiwa Nyumbani hapo amesaini Kitabu Cha Maombelezo na kuhani msiba leo tarehe 09 Desemba 2024.
*#PumzikaKwaAmani*





Comments
Post a Comment