Kocha Mkuu wa timu ya Biashara United ya Mara Aman Josiah Leo ameanza Kushiriki Kozi ya ukocha ngazi ya Diploma A ya CAF
Kozi hiyo ambayo itafanyika Kwa kipindi Cha Mwaka Mmoja inafanyika Tanga na inaendeshwa chini ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF inahusisha makocha 25 kutoka nchi Mbalimbali za afrika na wakufunzi Zaidi ya Sita kutoka FIFA
Katika Picha Kutoka kushoto ni Kocha Msaidizi wa Timu ya Yanga Moussa N'Daw, Katikati ni Kocha Mkuu wa timu ya Azam Fc Youssouph Dabo na Kulia ni Kocha Mkuu wa Biashara United Aman Josiah wakiwa Katika Picha ya Pamoja huko Tanga


Comments
Post a Comment