Ziara ya Mtaa Kwa Mtaa Jimbo la Ubungo Kata ya Makurumla.

GEORGE MARATO TV
0


Mhe. Prof KITILA MKUMBO ameendelea na Ziara ya kupita mtaa kwa mtaa kwa lengo la kuwaomba KURA Wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi oktoba 29 Mwaka huu. 

Vile vile Ziara hiyo hutumika kuwasikiliza Wananchi kero zao na kuwaeleza Yale ambayo yamefanyika na  yanayotarajiwa kufanyika kwa Mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025-2030. 

Mhe. Prof Kitila Mkumbo alipokuwa kata ya makurumla aliweza kukutana na makundi mbali mbali yakiwemo Vijiwe vya Boda Boda, Bajaji , viongozi wa Dini, wafanya biashara wa sokoni, wauza vitambaa na washonaji, wauza majeneza pamoja na kufungua Zahanati na Duka la Dawa la Magaye Pharmacy.
















Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top