Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mama Siti Mwinyi kufuatia Kifo cha Mtoto wake Hayati Mhe. Abass Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwa Marehemu Bweleo Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Unguja tarehe 26 Septemba 2025.
Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanafamilia ya Hayati Mzee Mwinyi wakati alipofika Bweleo Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Unguja kwa ajili ya kuifariji Familia hiyo kufuatia Kifo cha Kaka yao Hayati Abass Ali Mwinyi, tarehe 26 Septemba 2025.