Maelfu ya wananchi mjini Iringa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwembetogwa na kuhutubiwa na katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla.