Waziri Mkuu Aongoza Kikao Cha Mawaziri wa Serikali Zote Mbili Tanzania

GEORGE MARATO TV
0


 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kilichojadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege-Zanzibar leo Aprili 25, 2026.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top