Mkurugenzi Mkuu Tume Ya Taifa Ya Umwagiliaji Awajulia Hali Waandishi wa Habari Waliopata Ajali Iringa

GEORGE MARATO TV
0


MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini (NIRC), Raymond Mndolwa (mwenye suti nyeusi) akiwa Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano (NIRC), Mariam Mziwanda pamoja na waandishi wa habari  katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kuwaona na kuwapa pole wanahabari waliopata ajali jana wakitokea kazini Idodi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduz (CCM)











Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini (NIRC), Raymond Mndolwa akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani wa Iringa, Daudi Yasin pamoja na waandishi wa habari ili kuwajulia hali na kuwapa pole wanahabari waliopata ajali jana wakitokea kazini Idodi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top