George Michael Uledi.
September 16,2025!
Siku ile nikiwa natembea zangu mitaani mara Naliona ujumbe ukinijia kichwani mwangu,ulikuja kwa njia ya neno(suati) ukisema 👇🏿👇🏿👇🏿
"Nenda kawaambie,Samia huyu HATOKUWA yule tena baada ya Uchaguzi Mkuu huu 2025...mkajiandae.."!..
Jana nikiwa kwenye gari ya Kaka yangu Mh Paul Douglas Mwakajumba tukitoka kwenye ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi Wilayani Kyela,eneo la Ipinda Kyela,ambako Mh Spika alikuwa ndiye mgeni RASMI,mara gafla Kaka yangu Paul Deoglas Mwakajumba akasema...;
"....watu wengi watashangaa,Samia huyu HATOKUWA huyu baada ya Uchaguzi Mkuu...."
Nilistuka!👆👆kwani alichokisema Kaka yangu Paul ni kile kile ambacho Mungu alinipitishia kichwani mwangu kwa sauti miezi mitatu nyuma!
Kichwa changu kikawa tayari "kimetiki" Unabii ule bila hata KUMWAMBIA Kaka Paul kwamba I saw the same,back days!
Hakika Nawaambia👇🏿👇🏿
I.Ole wenu mnayedhania Mama huyu ni DHAIFU!She is about to prove you wrong,very soon!
II.Ole wenu mnataka kumuendesha mkidhani hana uwezo wa "kuwamwaga",nasema ole wenu!
III.Ole wenu mnaodhani ataanguka soon or later!Kuna nguvu itamjia,kuna kitu Mungu kamwambia,najua anajua,akifanya alichoambiwa na Mungu kuna nguvu kubwa ya ajabu ya kibali itakuwa juu yake!
Ishini naye Mama huyu kwa akili sana kwa wakati huu kwani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025 hatukuwa huyu tena na Watanzania sasa wataanza kumuelewa vizuri zaidi ya Jana na Leo!
Bwana Mungu ameniambia niwambie haya,hasa Wanasiasa 👆👆
Huu ni "Unabii"👆👆
"..itakuwa siku za mwisho,ASEMA Bwana,nitawamwagia watu roho yangu na wana wenu Watatabiri,.. Vijana wenu WATAONA MAONO...Wazee wenu wataota ndoto...(Matendo ya Mitume 2:17).
👆👆Bwana ASEMA vijana wenu WATAONA MAONO,Wazee WATAOTA..Mabinti WATATABIRI...".
MIMI NIMEONA👆👆SIJAOTA NA WALA SIJATABIRI.
Maneno hayo hayo👆👆yanasomeka karibia na kufanana na kitabu cha matendo ya Mitume(Joel 2:28).
Msinipuuze!