Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi ambaye alimwakilisha Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso katika kufunga Maadhimisho ya 14 ya Siku ya Mara akikagua mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Mwenge mjini Butiama.
Mhe. Mtambi amepongeza ushirikiano mzuri uliooneshwa kati ya Tanzania na Kenya katika kufanikisha maadhimisho hayo.