Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Ndg.Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 20 Septemba 2025 ameomba kura za kishindo za Urais kwa Dkt.Samia Suluhu Hassan na Ubunge Tarime Vijijini kwa Chief Mwita Mwikwabe Waitara na Udiwani wa Kata ya Sirari kwa Ndg.Victoria Mapesa.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.