Balozi Nchimbi Kuzisaka Kura za Ccm Ndani ya Jiji la Dar es Saalam

GEORGE MARATO TV
0


 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel John Nchimbi, leo Septemba 28,2025 anaendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Urais ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ili kusaka Kura za Ushindi wa Chama hicho Tawala.

Dkt Nchimbi katika Ratiba yake anaanzia Wilaya ya Kigamboni, kisha ataelekea Mbagala kwa mkutano utakaofanyika katika eneo la Maturubai–Polisi. Baadaye, atahitimisha siku kwa mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Temeke, katika uwanja wa Mwembe Yanga.

Mikutano ya Dkt Emmanuel John Nchimbi inalenga kuwasilisha sera na ahadi za CCM kwa wananchi, pamoja na kuhamasisha mshikamano na ushiriki wao katika uchaguzi mkuu ujao.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top