MJUMBE wa Baraza Kuu la UWT Taifa Mkoa wa Mara Ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa huo Rhobi Samwelly ametumia haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Leo Novemba 27, 2024 kuchagua Viongozi wa serikali ya mtaa.