Baraza maalumu ya madiwani wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wamepongeza Mhasibu wa Halmashauri hiyo CPA Justice Shemakange kwa kuwasilisha vema Hesabu za Halmashauri hiyo.
Pongezi hizo zimetolewa kwenye kikao maalumu cha kupitisha taarifa ya fedha ya Halmashauri hiyo inayoishia Agost 30,2024 mwaka huu
Diwani wa Kata ya Kazunzu Boniphace msenyela amesema Mhasibu huyu ameonyesha uwezo wake wa kuandaa na Hesabu kisha kiziwalisha huku adia kuwa baraza hilo halina shaka naye na ni mtu sahihi wa kuisadia Halmashauri hiyo.
" Uwezo wake nimkubwa wa kupanga hasebu unaonyesha wazi ni mtu sahihi aliyebobea kwenye kitengo ya fedha wenye cheo Cha CPA ,wamesema madiwani.
Kwa upande wake CPA Justice Shemakange Mhasibu wa Halmashauri ya Buchosa amesema jukumu lao kama wataalumu ni kuisadia jamii kupiga hatua kimaendeleo.
Diwani wa Kata ya Nyakaliro Paul Kabugwe amesema Mkurunge wa Halmashauri hiyo Benson Mihayo amepata mtu sahihi wa kufanya naye kazi hivyo katika muunganiko huo Halmashauri itasongambelea katika suala zima la ukusanyaji wa mapato kwenye Halmashauri yetu