Hati ya Makubaliano ya Kuandaa Afcon 2027 Yasainiwa

GEORGE MARATO TV
0


Nchi waandaji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027 (AFCON 2027) wamesaini hati ya makubaliano ya pamoja inayojulikana kama CAF Joint Resolution – TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027 tarehe 11 Mei, 2026.

Nchi hizo ambazo ni Tanzania Kenya na Uganda zimesaini hati hiyo kwa lengo la kuimarisha uratibu na ushirikiano katika maandalizi ya mashindano hayo makubwa ya bara la Afrika.

Utiaji saini makubaliano hayo yameshuhudiwa na  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motssepe. 

Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakiongozwa na Rais Wallace Karia. 







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top