Waziri Katambi Akutana na Msajili wa Silaha Nchini

GEORGE MARATO TV
0


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Patrobas Katambi amekutana kwa Kikao Kazi na Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Usajili wa Silaha,Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi,ACP Berthaneema Mlay ambapo wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo Sera za Umiliki wa Silaha.

Mazungumzo hayo pia yamehudhuriwa na Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Silaha,Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi,ACP Sebastian Madembwe.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi ndogo ya waziri,jijini Dar es Salaam.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top