*Kwimba -Mwanza*
*Mbunge wa Jimbo la Kwimba na Mwanadiplomasia Mhe COSMAS BULALA ( MWANZA FINEST ) amefanya kikao kazi na wakuu wa idara ( CMT ) wa halmashauri ya Kwimba na kuonyesha dira yake ya miaka mitano ( 2025-2030 ) ya ubunge wake.*
*Mhe BULALA kawapongeza wataalamu wote Kwa KUENDELEA kuchapa kazi za kuwahudumia Wana Kwimba muda wote*
*Wataalamu wote wamemshukuru Kwa kuzungumza nao na kumuahidi kushirikiana nae Mhe COSMAS BULALA ( MWANZA FINEST)*
*Kwimba ni yetu sote tutaijenga Kwa pamoja🤝🤝🤝🤝*



