Mugumu,
04’ Dec 2025
Mbunge wa jimbo Serengeti Mh Mary Daniel (MB) ameanza ziara yake katika jimbo hilo kwa kufika katika Hospital ya Isabayaya iliyoko Mugumu Serengeti kumjulia hali Katibu wa CCM kata ya Kisaka anae endelea kupatiwa Matibabu katika hospitali hiyo.
Katibu huyo Bw Peter ambaye anaendelea kupata matibabua katika hospital hiyo amemshukuru huyo na msafara wake kuona thamani ya afya yake na kwenda kumjulia hali.



