WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 20, 2025 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi pamoja na kusalimia baadhi ya wananchi wanaopata huduma katika hospitali hiyo.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.






