Dkt.Nchimbi Aendelea Kusaka Kura za Ccm Dodoma

GEORGE MARATO TV
0


Picha mbalimbali za tukio la Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wake mdogo wa hadhara wa kampeni  uliofanyika katika uwanja wa Bukulu,jimbo la Kondoa Vijijini leo Oktoba 17,2025 mkoani Dodoma.






Dk Nchimbi anaendelea kusaka kura za ushindi wa kishindo za Mgombea urais wa chama hicho, Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani  mkoani Dodoma,akiwa amefikia  mkoa wake wa 24 mpaka sasa.
















Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top