Tutalinda Kwa Bidii Kubwa Tunu za Muungano Wetu -Dkt Samia

GEORGE MARATO TV
0


 17 Septemba 2025-

Kusini Unguja

Mgombea wa Urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan Leo ameendelea na kampeni zake kuinadi Ilani ya CCM Makunduchi, Zanzibar,

Katika mkutano wake Dkt. Samia alielezea kuhusu kulinda tunu kuu, muhimu na msingi wa Muungano, Amani na utulivu ili tufikie malengo makubwa kama Taifa.

Muungano wetu wa Tanzania ni hazina kubwa na ya kipekee barani Afrika. Ni daraja linalotuunganisha kutoka Visiwani hadi Bara, likitufanya tuwe taifa lenye mshikamano, upendo na ushirikiano wa kweli. Tuwalinde na kuuenzi Muungano huu kwa vitendo, kwani ni urithi wa vizazi vilivyopita na ni dhamana ya vizazi vijavyo.


















Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top