Tumekuja Kusikiliza Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Hapa Bukombe - Geita

GEORGE MARATO TV
0


Makundi mbalimbali ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2025-2030  kupitia Wagombea Ubunge na Udiwani Mkoa wa Geita ikiwa leo ni siku ya uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Geita  kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.












Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top