Mke wa Dk Nchimbi amuombea kura Rais Samia, wabunge Tanga

GEORGE MARATO TV
0


Mke wa Mgombea mwenza wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi Mama Jane Nchimbi akimuombea  kura Rais Samia, wabunge Tanga, leo Jumatatu Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa Mazoezi Mjini Korogwe, Tanga.

MamaJane Nchimbi ni mwenyeji wa Korogwe alipata fursa hiyo wakati Dk Nchimbi alipokuwa akiendelea na ziara ya kusaka kura mkoani humo.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top