Dkt.Nchimbi Ndani ya Jimbo la Kigamboni.

GEORGE MARATO TV
0


 
PICHA za matukio mbalimbali ya Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili kwenye mkutano wake wa hadhara wa Kampeni kuwahutubia Wananchi katika uwanja wa mjimwema-wilaya ya Kigamboni,leo Jumapili Septemba 28,2025 jijini Dar es Salaam.


Baada ya kuwahutubia Wananchi uwanjani hapo,Dkt.Nchimbi alipata nafasi pia ya kuwanadi wagombea Ubunge wa mkoa huo, akiwemo mgombea Ubunge wa jimbo la Kigamboni,Ndugu Haran Nyakisa Sanga pamoja na Madiwani.

Dkt.Nchimbi ambae ni Mgombea Mwenza wa Urais wa Dkt.Samia Suluhu Hassan anaendelea na mikutano yake ya kampeni akitokea mkoani Iringa akifikisha mikoa 15,kusaka Kura za ushindi wa kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.













Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top