Waziri Mavunde Aongoza Kikao cha Watendaji wa Wizara

GEORGE MARATO TV
0

 



Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake ikiwa ni maandalizi ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.

Taarifa hiyo inawasilishwa leo Machi 25, 2025.












Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top