Majaliwa Kuzindua Kampeni Ya Kitaifa Ya Msaada Wa Kisheria Ya Mama Samia, Mkoa Wa Lindi

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo.

Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi  wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za kisheria. Pia kampeni hiyo itawezesha kupata utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala, kuongeza uwajibikaji kwa watendaji na kuimarisha umoja na mtangamano miongoni mwa jamii.

Mpaka sasa kampeni hiyo imefika katika mikoa  16 na kuhudumia wananchi zaidi ya milioni 1

Kaulimbiu ya kampeni hiyo ni “Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa Amani na Maendeleo”.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top