Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 5 Februari 2025.
Dkt Mwinyi ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa Kwa Ccm Mjini Dodoma
February 05, 2025
0
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 5 Februari 2025.
Share to other apps