Waziri Mkuu kuzindua mradi wa SOFF

GEORGE MARATO TV
0

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 21, 2025 atazindua Mradi wa (SOFF) unaofadhiliwa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO). 

Mradi huo unatarajiwa kuwezesha Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini kununua vifaa vipya na vya kisasa vitakavyoongeza ufanisi katika Utabiri wa Hali ya Hewa.

Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Midland Inn View Dodoma.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top