-Mc Pilipili: Usioe Mwanamke Mwenye Tamaa
Mchekeshaji / Mchungaji maarufu hapa Tanzania na Afrika Mashariki nzima Mc pilipili amefunguka ukweli mzima kuwa yeye na Mama wa mtoto wake hawapo sawa kabisa na kuwapa ushauri vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa.
"Nazani nilioa mwanamke asiyekuwa na upendo wa kweli na aliyejaa Tamaa sana za maisha mazuri ndoa maana amekuwa akinisumbua sana. Ushauri ni jambo la bure vijana wenzangu tutafute wanawake wasiokuwa na Tamaa"- Amezungumza Mc Pilipili.