Mbwa Afisa wa Jeshi aliyefuzu

GEORGE MARATO TV
0


 

Pichani ni mbwa afisa wa jeshi, msomi, Jasusi na Komandoo aliyefuzu mafunzo ya kimedani ya kijeshi na ana force number.

 Anaitwa "K9 police dog" ni aina maalumu ya mbwa wa kijeshi wanaotumika katika misheni maalum ikiwemo kubaini vilipuzi, madawa ya kulevya, wahalifu na kushambulia wahalifu wanaojaribu kutoroka mkono wa sheria. Mbwa hawa hawali mabakibaki wala viporo.

Hawa sio wale mbwa koko wetu wanaokula hadi chips. Mbegu maarufu za mbwa hawa (kitaalam ikiwa na maana ya Breeds) ni aina ya German Shepherd, Dutch Shepherd na Belgian Mulinois. Hawa mbwa mmoja kibongo anauzwa sio chini ya milioni 5 hadi 10.

Fikiria mbwa ni afisa wa serikali alafu wewe kazi huna yaani upo upo tu mtaani hata kujiajiri hutaki unapiga tu soga na kubeti

Mungu akusaidie Aisee 🤣


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top