GMTV inatoa Pole nyingi kwa familia ya mzee Msomi Bwana kufuatia kifo cha kijana wao mpendwa Rashid Msomi Bwana.
DAIMA tutamkumbuka ndugu yetu kwa upendo wake na ucheshi wake kwetu
Tunamshuru mwenyezi Mungu kwa maisha ya ndugu yetu hapa duniani
Ingawa ni muda mfupi mno lakini ametuachiabkumbukizi kubwa sisi tuliobaki.
Tumwombea mwenyezi Mungu aweze umpokea na kumpa pumziko jema mbinguni