Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimvisha Salmin Kassim Mkanda wa ubingwa wa WBF baada ya kushinda pambano dhidi ya mfilipino, Adrian Lerasan kwenye tukio maalum la pambano la ngumi la ‘Knockout ya Mama’.
Pambana hilo ls kuvutia ambalo lilifuatiliwa pia na Rais Samia Suluhu Hassan limenyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Desemba 26, 2024.