Zungu amefika kutoa salamu za pole kwa Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kariakoo Kaskazini Ndg. Mwinyi Ludete nyumbani kwao Mtoni Kijichi, aliepatwa na msiba wa kuondokewa na Dada yake.
Zungu anatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu.
Innalilah wa Innalilah Rajoun