Waziri Kikwete ateta na Viongozi wa Vijiji Chalinze

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu mh Ridhwani Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na viongozi wa Serikali za mitaa walichaguliwa Nov 27 mwaka huu 2024 na kuwapa pongezi kwa kuchaguliwa huku akiwakumbusha wajibu wao kwa chama na Serikali katika kuwatumikia wananchi katika maeneo yao.


Mh Kikwete amepata nafasi hiyo ya kutoa nasaha katika mkutano na Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na wajumbe wa Halmashauri za Vijiji katika makundi yote wapatao 1919 uliofanyika Lugoba, Chalinze mapema leo tarehe 30Nov.2024.


Ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha wajibu wao kwa Wananchi, Serikali zao na kwa Chama Chao. Pia nimewatakia kheri katika majukumu yao kwa jumla na kuwaahidi ushirikiano mkubwa sana toka kwangu na ofisi yangu.

 





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top