Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini Mhe Vedastus Mathayo Leo 27/11/2024 amepiga yake katika kituo cha kupigia kura Sido kilichopo mtaa wa Baruti, kata ya Nyakato.
Mhe Mathayo ameongozana na mwenza wake Bi Elizabeth Vedastus Mathayo.
Akizungumzia zoezi zima la upigaji kura, Mhe Mathayo amesema ametembelea baadhi ya maeneo, zoezi hilo linaenda vizuri