Tume ya Madini kwa mara nyingine imeibuka Mshindi wa Kwanza kwenye Kundi la Taasisi Wezeshi za Serikali katika Sekta ya Madini kwenye Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Geita na kukabidhiwa tuzo na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.