Mhe. Kikwete Aongoza Timu ya Wizara Kuwasilisha Taarifa ya Ulipaji wa Taarifa ya Wastaafu

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Welemavu), Mhe. Ridhwani Jakaya Kikwete, ameongoza timu ya Wizara @WMKVAU kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa Ulipaji wa mafao ya Wastaafu Bungeni Septemba 4, 2024. 

Katika kikao hicho, Mhe. Ridhwani, ameihakikishia Kamati ya Bunge kuwa changamoto zilizokuwa zinakabili mifuko yetu zimeendelea kutatuliwa huku wanachama wakiendelea kulipwa ndani ya Muda wa Siku 60.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top