Waziri Mkuu Atumia Usafiri wa Treni ya Mwendo Kasi SGR Kutoka Dodoma Hadi Dar es Salaam

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2024 amesafiri kwa kutumia Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi (SGR) kutokea Dodoma kwenda Dar es Salaam ambako atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki utakao fanyika katika Kituo  cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top